SWALI: Katika Mithali 30:24, tunaona wanatajwa wanyama wanne, wenye akili sana, lakini naomba kufahamu juu ya Yule wanne ambaye ni mjusi, Anaposema “Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani…
Jibu: Turejee.. Waefeso 5:25 “......kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; 26 ili makusudi alitakase na KULISAFISHA KWA MAJI KATIKA NENO; 27 apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na…
SWALI: Naomba kufahamu maana ya huu mstari..Kwanini biblia imtaje Mungu kama mtu, angali maandiko yanasema yeye sio mtu. Kutoka 15:3 BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake. JIBU:…
Jibu: Tusome, Mwanzo 24:67 “Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake”. Andiko hilo halimaanishi kuwa…
Kibiblia mapepo yanafananishwa na inzi. Inzi siku zote huvutiwa na mazingira ya aina mbili. Ya kwanza ni uchafu. Mahali palipo na uchafu hapakosi inzi, Na ndio maana Bwana baada ya…
Jibu: Tusome, Marko 14:27 “Yesu akawaambia, Mtakunguwazwa ninyi nyote kwa ajili yangu usiku huu; kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo watatawanyika”. Kukunguwazwa maana yake ni “kuchukizwa”.. Mtu anapokufanya ukasirike…
Bwana alisema “Usiue” (Kutoka 20:6) lakini tunaona anawapa wana wa Israeli maagizo ya kuua wale wote wanaoabudu miungu? Je Hii inakaaje? (Kumbukumbu 13:6). Jibu: Tusome, Kumbukumbu 13:6 “Atakapokushawishi kwa siri…
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 27:8 “Kama ndege aendaye huko na huko mbali na kitundu chake; Ndivyo alivyo mtu aendaye huko na huko mbali na mahali pake” JIBU:…
Tusome, Matendo 27:25 “Basi, wanaume, changamkeni; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa. 26 Lakini hatuna budi kupwelewa katika kisiwa kimoja”. Kupwelewa maana yake ni “kusafiri…
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 16:33 Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo; Lakini hukumu zake zote ni za BWANA. JIBU: Kura zilipigwa kwa namna mbalimbali zamani, njia iliyokuwa…