Maswali ya hivi karibuni ni ya kwanza katika orodha, ili kusoma bofya somo husika uingie.Pia ukiwa na maswali/ unahitaji maombezi/ piga namba hizi: +255693036618/ +255789001312
Unaweza pia kuyapata mafundisho yetu ya kila siku Whatsapp. Jiunge kwa kubofya hapa chini>
Kuna uhusiano gani wa mtu wako wa karibu mfano shangazi kukufunga usizae au kuolewa au kufanikiwa?je kuna kua na uhalali wa yeye kufanya ivyo?na kama haupo kitu gani kinamfanya afanye ivyo??swali la pili ikiwa umefungwa usizae wala kuolewa na njia gani sahihi ya kuondoa hayo maroho?na je kuna uhusiano gani wa kufungwa ivyo na pepo kulipuka kipindi cha maombezi?
Naitwa simon, nimepitia mafundisho yako mengi na kupendezwa nayo. Nina swali moja nahitaji ushauri lakini pia njia sahihi ya kufanya. Ninae mke na mtoto mmoja lakini kwasasa ameondoka kwangu kwa kunitoroka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine pasipo sababu maalumu zaidi anasema ameamua. Je, ni hatua gani za ki-Mungu naweza kuzifuata? Na je naruhusiwa kuoa mwingine?
Wakati Mungu alimlaani nyoka wakati alipodanganya hawa ndani ya shamba la edeni , akasema na kwa tulbo lako utatembeya wakati hule mwengine wote nyoka alikuwa akitembeya na Nini ? (Mwanzo 3 :14)
N’a wakati Mungu alimwambiya hawa ya kwamba kwa sababu umekula tunda hakika nitakuzidishiya uchungu wako , na kuzaa kwako ;kwa utungu utazaa mtoto ; na tamaa yako itakuwa juu ya Mme wako naye atakutawala. Ina maana Adamu
alikuwa ametawaliwa na Hawa kabla ya kula l’île tunda ?
Asante sana
Bwana Yesu asifiwe mtumishi,habari za jumapili.Samahani mtumishi kuna maandiko yananitatiza andiko la 2 Samweli 24:1-14 na Waebrania 10:31.Hapo tunaona Daudi anasema ni afadhali kuanguka katika mkono wa BWANA lakini anapingana na Paulo anayesema ni Jambo la kutisha mtu kuanguka katika mikono ya Mungu aliye hai
Bwana Yesu asifiwe mtumishi,habari za jumapili.Samahani mtumishi kuna maandiko yananitatiza andiko la 2 Samweli 24:1-14 na Waebrania 10:31.Hapo tunaona Daudi anasema ni afadhali kuanguka katika mkono wa BWANA lakini anapingana na Paulo anayesema ni Jambo la kutisha mtu kuanguka katika mikono ya Mungu aliye hai
About the author