Mafundisho

Masomo ya hivi karibuni ni ya kwanza katika orodha, ili kusoma, bofya kichwa cha somo husika kufungua. Pia ukiwa na maswali/ unahitaji maombezi/ piga namba hizi: +255693036618/ +255789001312

KARIBU KATIKA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU, MAHUBIRI YA NENO LA MUNGU YANAPATIKANA BURE MUNGU AKUBARIKI.

 Pia kama utapenda kuyapata kwa njia ya Whatsapp  bofya hapa chini kujiunga>

https://chat.whatsapp.com/GBX2lWIcoCq8zmlnXJgaWQ
https://chat.whatsapp.com/GBX2lWIcoCq8zmlnXJgaWQ

Print this post

147 comments so far

MichaelPosted on4:59 pm - Apr 28, 2024

Michael Kalindaga

Daniel mazikuPosted on8:20 am - May 12, 2023

Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu aliye hai🙏🙏🙏🙏
Hakika kazi yenu ni njema sana, Binafsi nimejengeka sana kiroho kupitia masomo yanayoandaliwa kwenye hii madhabahu

Dieudonné KahindoPosted on10:45 am - May 11, 2023

Tafadhali na mimi mu add kwenye WhatsApp group number ni +243973566700 nayapenda sana mafundisho yenu, muzidi kubarikiwa na bwana

Meshack DodomaPosted on7:00 pm - Apr 7, 2023

Amen, nimebarikiwa sana na masomo niliyosoma.
Nahitaji kujiunga na website hii Ili niwe napata mrejesho Kila mnapo post

MichaelPosted on10:36 am - Feb 21, 2023

Ningependa uwe nanitumiya haya masomo kwa njia ya gmail.com, anuani yangu hiyi : michaelnzungu2@gmail.com

Matendo mwandaza eliePosted on11:34 pm - Feb 17, 2023

Asante sana watumishi wa mungu,awajaliye neema mu mu one kwa kujitoleya kuwapa watu wake dawa ya roho na siri zificwazo katika maneno ya mungu. Dungu zangu ninge penda ku jiunga nanyi lakini mimi ni mukongomani{r.d.c} na ishi ndani ya muji ya bukavu namba zangu ni :+243974394928

MICHAEL NZUNGUPosted on9:25 am - Dec 31, 2022

Ningependa ni jiunge na kundi hili la wingu la mashaidi, lakini nakaa mbali sn, naishi DRC katika jiji la Uvira, namba yangu ya simu hiyi hapa +243970774416

Bahati gloirePosted on11:53 am - Dec 30, 2022

Sasa mimi ningependa nifanye kitabu ya hii mafundisho yote na maswali na majibu sasa ni vigumu ya andika je inawezekana kupata fichier ambayo inaweza nisaidia kufanya kitabu sababu kuya andika nivigumu

Jean marie bitaPosted on5:55 pm - Dec 28, 2022

Shalom!..sisikama wakristo tunaruhusiwa kuchezo hizi game?
1.card game
2.chekers na
3ludo?

SerePosted on6:48 pm - Nov 5, 2022

Nimebarikiwa sana na mafundisho yenu .
MUNGU azidi kuwatia nguvu , ili tupate mafundisho zaidi

Ayub KelvinPosted on7:46 pm - Oct 24, 2022

Naomba mniunge Kwa group ya WhatsApp 0799493145

AnonymousPosted on8:08 pm - Oct 18, 2022

Mungu awainuwe katika viwango vya juu

Mfariji tumainiPosted on9:57 pm - Oct 2, 2022

Mungu awabariki

MATHIAS ISEKEPosted on10:54 pm - Sep 29, 2022

Niunge kwenye gurop la watsup

AnonymousPosted on2:25 pm - Aug 24, 2022

Mbarikiwe Sana

Nuru ya UpendoPosted on1:47 pm - Aug 15, 2022

Tutafute kwa namba zetu…hizi ndugu ili tukupe mwongozo…0693036618

AnonymousPosted on3:51 pm - Aug 14, 2022

Bwana YESU Asifiwe mi bado ni kijana wa miaka 18 na uwa nafuatilia sana mafundisho ya uzima mnayofundisha ..nikiwa mdogo nilibatiziwa catholic lakini saa hii nimeama ,hivyo naomba ushauri na mwelekezo wa niwapi naweza pata ubatizo sahihi hili kupokea muhuri wa ROHO MTAKATIFU

AnonymousPosted on8:27 pm - Jul 22, 2022

Mbarikiwe sana watumishi

Ezekieli mnyanyiPosted on8:24 pm - Jul 22, 2022

Mbarikiwe sana watumishi

Ezekieli mnyanyiPosted on8:17 pm - Jul 22, 2022

Amina mungu azidi kuwatia nguvu kwa kazi mnayoifanya

Ezekieli mnyanyiPosted on8:10 pm - Jul 22, 2022

Kwkweli mungu awabariki watumish maana mimi nimefunguliwa

CleverPosted on11:05 am - May 13, 2022

Nawapenda San watumishi wa mungu

SamariPosted on4:06 pm - May 5, 2022

Mbarikiwe sana watumishi Mungu

Brian edwardoPosted on10:50 pm - Mar 26, 2022

Nimebarikiwa na mafundisho .ubarikiwe.Naomba uniunge whatsap Yako namba yangu 0625698001

AMOS BARAKAPosted on10:21 pm - Feb 17, 2022

Leave your message

AnonymousPosted on1:37 pm - Jan 4, 2022

Naomba niungwe kwenye group la wasap 0621752820

Francis BPosted on4:22 pm - Jan 2, 2022

Amen Mtumishi, Mungu awabariki sana kwa mafundisho mazuri na yenye ujazo wa Roho Mtakatifu

ErastusPosted on5:33 pm - Dec 14, 2021

Ndiyo, tayari nimempokea Yesu

Erastus nanjalaPosted on11:42 am - Dec 3, 2021

Mwenyezi Mungu akujazie baraka na maarifa ndungu, asante kwa neno la Mungu,,,, ubarikiwe

AnonymousPosted on10:36 pm - Nov 20, 2021

MUNGU WA MBINGUN AWABARIKI

#Sammy roy mkambaPosted on3:23 pm - Oct 31, 2021

Tubaki na imani ya bwana 2napoendelea kijitayarisha kumpoke yesu…jina la bwana libarikiwe!

Nuru ya UpendoPosted on12:20 am - Oct 22, 2021

Amen utukufu kwa Bwana

FREDY SANGANAPosted on4:14 pm - Oct 21, 2021

Nimebarikiwa sana namafundisho mazuri kwakweli yananisaidia kunifungua macho ya rohoni nakuniimarisha katika kumjua Yesu kristo kwa upana zaidi ,Mungu awabariki sana naawazidishie maarifa zaid

DuncanPosted on4:41 pm - Sep 3, 2021

M’barikiwe sana,kazi mnayoifanya nikubwa sana kupita maelezo,kwahakika mbarikiwe sana.

Nuru ya UpendoPosted on2:09 pm - Aug 30, 2021

Amen..utukufu kwa Bwana.

Tayari nimeshakuunga!

Cleven NassaryPosted on7:09 pm - Aug 29, 2021

Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Bwana, Mungu azidi kuwabariki kwa mafundisho mnayoyatoa kupitia blog hii kwa kiasi kikubwa yananijenga na kuzidi kuniimarisha.Ninaomba mniunge kwenye group la whatsapp ili nijifunze zaidi namba yangu ni 0713 988009

RehemaPosted on9:41 pm - Jul 24, 2021

Watumishi wa mungu bwana Yesu hazidi kuwabariki sana, hakika mumenifungua macho ya roho,pia mimi nazidi kuwaombea kutoka apa Uganda.

RehemaPosted on4:31 pm - Jul 18, 2021

Nawasalimu kwa jina la Yesu,naomba kujua Yesu ni mungu? au ni mwana wa mungu?.

AnonymousPosted on1:31 pm - Jul 1, 2021

Asantee, kiujumla nimebarikiwa sana na blog hii, Mungu awabariki sana kwa mafundisho haya🙏🏻

Jackson ChikaoPosted on8:41 pm - Jun 28, 2021

Shalomu Kiongozi

Nimependezwa na mafundisho kwa kweli maana najifunza vyema neno la Mungu ili niweze mshinda shetani zaidi kwani hata Yesu alipokuwa akijaribiwa alimshinda shetani kwa maandiko matakatifu naomba kujifunza zaidi

Reuben Onchonga NdemoPosted on10:49 pm - Jun 14, 2021

Tafadhali naomba kufahamu saidi kuhusu, matatizo yanayokumba ndoa na suluhizo

Joseph NyangiraPosted on6:05 pm - Jun 12, 2021

Naomba mniunge kwenye grup la watsapp no 0622659629

Joes mikePosted on10:21 am - May 23, 2021

Nimefurahi sana kuona mafundisho yenu tafadhali niunge kwenye whatsap group yenu

Benson mlayPosted on12:29 am - May 9, 2021

0672802347
Naombeni mniunge whatap

JosephPosted on8:58 pm - Apr 26, 2021

Barikiwa sana mtumishi naomba uniunge kwenye WhatsApp

RichardPosted on9:07 am - Mar 17, 2021

Mm nawapenda sana pia naomba mniunga ishe kwenye wasap 0672992163pia jinsi ya kudiwnload

Cleven NassaryPosted on8:30 pm - Feb 18, 2021

Mungu azidi kukubaliki mtumishi katika mafumdisho yako haya,Mimi ningependa unisaidie ni kwa namna gani naweza kufunga maagano ya laana yaliyopo kwenye maisha yangu na familia yangu

    Nuru ya UpendoPosted on8:53 pm - Feb 18, 2021

    Nawe pia ubarikiwe..
    Unaweza kufunga maagano hayo, kwa kuingizwa kwenye agano lingine lili bora zaidi na lenye nguvu zaidi ya hayo, na hiyo ni kwa kumwamini Yesu Kristo na kubatizwa katika jina lake. Ukikamilisha hayo, Mungu atakufungua katika maagano yote ya laana unayoyajua.

Baraka SammoPosted on1:04 pm - Feb 17, 2021

Nafuatilia mafundisho mengi mnayoyatoa katika blog hii kwa kiasi kikubwa kimebadilisha ufahamu wangu na kuyajua mengi katika Neno la Mungu.
Naomba kuunganishwa kwenye group la Whatsapp
Namba hii: 0789 877 627

TimotheoPosted on3:59 pm - Feb 1, 2021

Mungu awabariki sana.

EZEKIELY MARKOPosted on3:22 pm - Jan 15, 2021

TUMEBARIKIWA NA KAZI MNAYOIFANYA WATUMISHI WA MUNGU

ALLY NASHONPosted on11:46 am - Jan 7, 2021

0756678553 naomba kuungwa kwenye kundi la whatsapp

AnonymousPosted on1:08 pm - Jan 2, 2021

Admin
Niunge kwenye group namba 0752360805

JosephPosted on7:21 pm - Dec 29, 2020

Asante sana mtumishi

Nuru ya UpendoPosted on10:15 am - Dec 25, 2020

Amen!

Lipo group whatsapp, tutafute kwa namba zilizopo kwenye tovuti hapo juu.

Hezron mwalongoPosted on3:33 am - Dec 24, 2020

Mtumishi wa Bwana hongera kwa huduma ya Mungu aliyoiweka ndani yako ubarikiwe sana.
Umeainisha vichwa vya masomo mazuri sana hapo juu sasa, nitayapataje masomo hayo?

Lodrick James massawePosted on6:30 am - Dec 1, 2020

Sijabatizwa,nahtaji kubatizwa ubatizo wa maji meng

Lodrick James massawePosted on6:18 am - Nov 21, 2020

Asante kwa kaz nzur, Mungu awabariki, naomba niunge ktk group namba yngu 0712224315

Charles majaliwaPosted on2:12 pm - Nov 15, 2020

Nabarikiwa na haya masomo mnayofundisha ombi langu naombeni mnitumie somo kuhusu mapenzi ya mungu na jinsi ya kuomba maana mimi huwa sijui nianzie wap wakat wa kuomba hivyo nakuwa kwenye wakat mgumu NAOMBA MNITUMIE KWENYE EMAIL YANGU majaliwacharles57@gmail.com

Charles majaliwaPosted on8:26 pm - Nov 14, 2020

Maomb mniadd 0752945620

Daudi SagaraPosted on8:54 am - Oct 26, 2020

Nafatilia mafundisho yenu kwa karibu sana. Yamenijenga kwa sehemu kubwa sana.
naomba mniunganishe kwenye grup lenu. 0755 682 410

JoshuaPosted on11:24 am - Oct 15, 2020

Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Neema

AnonymousPosted on2:53 pm - Sep 17, 2020

Naomba uniadd kwenye group lenu 0718825522 idanbless

Peter MadejePosted on9:55 pm - Aug 4, 2020

Nimeyapenda sana MASOMO yenu Watumishi Wa MUNGU.

Naomba mniunge kwenye group la WHATSAPP
Namba: 0622472207

Amos MakobaPosted on12:59 pm - Jul 30, 2020

Naombeni mniadd kwenye group la WhatsApp
Namba yangu ni: 0747520134

Leave a Reply