Machapisho Mapya

ByNuru ya Upendo Apr 30, 2026

Maana yeye ampaye salamu azishiriki kazi zake mbovu. 

2 Yohana 1:10-11 Mtu akija kwenu, naye haleti mafundisho hayo, msimkaribishe nyumbani mwenu, wala msimpe salamu.  Maana yeye ampaye salamu…

USIYAKUBALI MARADHI YA MISRI
ByNuru ya Upendo Apr 30, 2026

USIYAKUBALI MARADHI YA MISRI

Jina la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu katika kujifunza Biblia. Upo usemi usemao “wanadamu tumeumbiwa maradhi”..Usemi huu ni wa…

ZITAMBUE NAKALA(COPY) ZA IBILISI
ByNuru ya Upendo Apr 30, 2026

ZITAMBUE NAKALA(COPY) ZA IBILISI

Jina la Bwana YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze maandiko.. shetani hana jipya zaidi ya kunakili (kucopy) vile vilivyopo na kuvutumia…

ByNuru ya Upendo Apr 28, 2026

Fanyeni Yote kwa Jina la Yesu Kristo

Mfundishe mtoto namna ya kutumia jina la Yesu katika kutenda mambo yake yote. Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa…

MAUMIVU YA DHAMBI
ByNuru ya Upendo Apr 27, 2026

MAUMIVU YA DHAMBI

Tambua Dhambi inaua chini kwa chini.. Je unajua ni kwa namna gani?.... Hebu fikiri kama mwili wako usingewekewa hisia ya…

EPUKA UVUGUVUGU.
ByNuru ya Upendo Apr 27, 2026

EPUKA UVUGUVUGU.

Uvuguvugu ni ile ya hali ya  kuchanganya mambo mema na mazuri (mema na mabaya kwa wakati mmoja).. Na roho ya…

Changia Huduma Hii

Wingu La Mashahidi Wa Kristo

Waebrania 12:1 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,"

Mafundisho

Kutana na orodha ya mafundisho,mbalimbali,kulingana na mada kuanzia wokovu, Mungu, Roho Mtakatifu, kanisa, Siku za Mwisho n.k.

je! Una maswali yoyote kuhusu biblia?

Tovuti hii inakupa wigo wa kuuliza maswali, na pia kujifunza kwa kupitia maswali mengi yaliyojibiwa

You-tube

Kutana na mafundisho mbalimbali kwa njia ya video na sauti